Mkutano wa 24 wa jukwaa la ushirikiano kati ya Ujerumani na Afrika kuhusu kilimo cha biashara umefanyika mjini Berlin, Ujerumani siku ya Jumatatu, ambapo naibu waziri mkuu wa Uganda amehimiza matumizi ...
Hivi karibuni vijana kutoka mataifa 20 walikutana Kenya kwa mafunzo ya kilimo wakihimiza kilimo kinachozingatia mbinu za jadi na za kisasa ili kuyalinda mazingira, kuongeza uzalishaji, na kumnufaisha ...