Maelfu ya wakenya, wengi wao wakiwa wanafunzi, wajitokeza kupata mafunzo ya kilimo na kushuhudia uvumbuzi mbalimbali ya katika nyanja ya kilimo Maelezo ya picha, Wanafunzi na walimu wao wafanya foleni ...
Wananchi nchini Rwanda wamepokea kwa hisia tofauti mpango wa serikali yao wa kuruhusu kilimo cha bangi kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu na kiuchumi. Kwa mujibu wa sheria matumizi ya bangi Rwanda ni ...
Mkutano wa 24 wa jukwaa la ushirikiano kati ya Ujerumani na Afrika kuhusu kilimo cha biashara umefanyika mjini Berlin, Ujerumani siku ya Jumatatu, ambapo naibu waziri mkuu wa Uganda amehimiza matumizi ...
Shirika la Chakula Duniani FAO limesema kilimo cha kutumia Mbolea za kemikali kimechangia kwa asilimia kubwa kuongezeka kwa ukosefu wa chakula katika nchi zinazoendelea hali inayolazimu wakulima ...
Afrika ndilo bara la pili kwa ukubwa duniani, lakini licha ya kujulikana kwa utajiri wa bioanuai, linakabiliwa pakubwa na athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Utafiti unaonesha mataifa ya Afrika, ...